| Wakazi wa Jiji la Mbeya wakishuhudia Soko la Mwanjelwa eneo la Sido likiteketea kwa moto chanzo mpaka sasa hakijajulikana. Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog |
| Waswahili wanasema kufa kufaana. |
| Kama kawaida yake Kikosi cha Zimamoto Mbeya kimeendelea na maigizo yake ya kuja kwenye tukio na gari bovu hapa wanaonekana askari wa kikosi hicho wakibishana huku moto ukiendelea. |
| Soko likiishia. |
| Mmoja wa wafanyabiashara wa soko hilo, akilia kwa uchungu baada ya bidhaa zake kuteketea. |
No comments:
Post a Comment