Tangazo

October 31, 2011

BLOGU YA 8020 FASHION YATIMIZA MIAKA 5


Mmiliki wa Blogu ya mavazi ya 8020 Fashions Shamimu Mwasha kushoto aka Shamimu Zeze pamoja na mgeni rasmi Mbunge wa CCM viti maalum Dar es salaam Agela Kairuki wakizundua nembo ya mavazi ya B2A itakayomilikiwa na Shamimu, wakati wa hafla ya kutimiza miaka 5 ya mtandao wa 8020 Fashions iliyofanyika kwenye ukumbi wa Daimond Jubilee jijini Dar es salaam leo mchana. Tukio hilo limedhaminiwa na kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa kusaidia wanawake MMWEI na kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers kupitia kinywaji chake kikali cha Baileys.


Shamimu Mwasha mmiliki wa 8020 Fashion akimlisha keki mgeni rami Mh Angela Kairuki wakati wa hafla ya blogu hiyo kutimiza miaka 5 ya utendaji wake wa kazi.


Shamimu Mwasha mmiliki wa 8020 Fashion akikata keki katika uzinduzi huo huku mgeni rasmi Mh. Angela Kairuki akishuhudia tukio hilo, kulia ni mbunifu wa mavazi Khadija Mwanamboka.Picha zaidi www.fullshangwe.blogspot.com

No comments: