Tangazo

October 31, 2011

Bondia Miyayusho 'amgaragaza' Mbwana Matumla

Bingwa Mpya wa UBO katika uzito wa Bantum, Francis Miyeyusho akifurahia ubingwa wake huo wakati akivishwa mkanda wake na Mlezi wa Mchezo wa Ngumi hapa nchini, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi, Suleiman Kova huku Diwani wa Kinondoni, Mh. Abbas Tarimba akiangalia.Francis Miyeyusho kanyakuwa ubingwa huo baada ya kumchakaza vibaya Bingwa wa Zamani UBO, Mbwana Matumla katika mchezo uliomalizika usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee hall.

No comments: