Tangazo

September 7, 2011

Vodacom yadhamini Mbio za Mashua za TANZACAT

Baadhi ya Washiriki wa Mbio za Mashua, zijulikanazo kama TANZACAT wakipunga Mikono kuashiria kuanza kwa mbio hizo zilizozinduliwa rasmi jana katika Klabu ya Yatch jijini na kudhaminiwa na kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania.
Mwenyekiti wa Mbio za Mashua, Nicholus Zervos akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mbio hizo zilizoshirikisha mataifa 16 na kuwashukuru wadhamini wakuu Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.
Baadhi ya Washiriki wa Mbio za Mashua, zijulikanazo kama TANZACAT wakianza Mbio hizo wakiwa  katika Ufukwe wa bahari ya Hindi eneo la Klabu ya Yatch jana.

No comments: