Tangazo

October 20, 2011

KUMRADHI WASOMAJI WETU

Mmiliki na Mhariri Mkuu wa Daily Mitikasi Blog, John Badi

Timu nzima ya Blogu hii inapenda kuwaomba radhi wadau na wasomaji wetu wote kuwa jana jioni hatukuweza kuwaletea habari na matukio mbalimbali kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Tunatanguliza shukrani
Daily Mitikasi Blog Team

No comments: