Kijana akizisaka noti katikati ya Jiji la Dar es Salaam jana. Kutokana na ukali wa maisha vijana wengi ambao rika lao walipaswa kuwa mashuleni wamejikuta wakijiingiza katika biashara ndogo ndogo ili kuweza kukabiliana na hali hiyo.PICHA/Daily Mitikasi Blog |
No comments:
Post a Comment