Tangazo

October 17, 2011

SAP BUSINESS ONE 8.8.1 TANZANIA YAZINDULIWA

Channel Meneja wa SAP Afrika Kusini, Nazir Jadavji akizungumza wakati wa wakati wa uzinduzi wa bidhaa mpya ijulikanayo kama "SAP Business One 8.8.1" kwa ajili ya matumizi ya programu za kompyuta katika sekta ya biashara Ndogo na za Kati, uliofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba 11, 2011. PICHA/Daily Mitikasi Blog
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Double Click Consulting Ltd, Ali Shariff  akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Channel Meneja wa kampuni ya SAP Africa Kusini, Nazir Jadavji (kulia) akijadiliano jambo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Double Click Consulting Ltd, Ali Shariff  wakati wa uzinduzi wa bidhaa mpya ijulikanayo kama "SAP Business One 8.8.1" kwa ajili ya matumizi ya programu za kompyuta katika sekta ya biashara Ndogo na za Kati, uliofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba 11, 2011. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa kampuni ya iO.Sys Ltd, Louis Carl Jourbert.
Ofisa Mauzo wa Bluekey Software Solutions (EA) Ltd, Anne Mbaka akifafanua jambo kwa Meneja wa Channel wa SAP Afrika Kusini, Nazir Jadavji (kushoto) wakati wa uzinduzi wa bidhaa mpya ya SAP Business One 8.8.1. Anayeshuhudsia (katikati) ni Mkurugenzi Mtendaji wa  Bluekey Software Solutions (EA) Ltd ambao ni wakala wa SAP,  Mala Bhatt.
Sehemu ya washiriki.
Channel Meneja wa kampuni ya SAP Africa Kusini, Nazir Jadavji (kulia) akijadiliano jambo na Mshauri Mtendaji wa Insight Consulting Consortium waratibu wa uzinduzi huo, Dunstan Mulaku (katikati) na Ofisa Mwandamizi wa Insight Consulting Consortium, Bi. Judy.
                                            ********************************************
SAP AG Germany  ni shirika linaloongoza  duniani  kwa  biashara katika sekta ya matumizi  ya programu za kompyuta na kitengo chake cha masoko kimejipanga  kuzindua  bidhaa yake mpya  kwa ajili ya sekta ya biashara Ndogo na za Kati  nchini Tanzania  itakayojulikana kama SAP Business One 8.8.1.

SAP AG, ambayo katika Afrika inafanya  biashara kwa jina la SAP Africa  Makao yake Makuu yapo Afrika Kusini. Aidha imekuwa  inatoa suluhisho la vipuri vya  kompyuta  kupitia wabia wake  wa biashara  nchini Taznania  ambao ni pamoja na Advance One, Bluekey, Double Click Consulting Ltd, iO.sys na  ITSL. Wabia hawa wameshafanikiwa  kutoa vipuri vinavyotolewa na  SAP Business One kwa kampuni kadhaa nchini Tanzania na wanaendelea  kupanua uawanja wake kwa ajili ya eneo kubwa zaidi.

Akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Double Click Consulting Ltd, Bw. Ali Shariff alisema, “Tangu kuanzishwa kwa SAP Business One nchini Tanzania wateja wetu wameshashuhudia mabadiliko muhimu na makubwa katika uendeshaji wa biashara  zao. Kupitia SAP wanaziendesha vizuri.”

SAP na wabia wa biashara wataonesha bidhaa zake na matarajio yake ya baadaye kwenye Hoteli ya  Hyatt Regency  (Kilimanjaro Hoteli) wiki hii; ikiwa ni mwendelezo wa kuitambulisha jumuiya ya wafanyabiashara kwenye mpangilio wao wa kupata ufumbuzi, aliongeza Bw. Shariff.

Kuhusu SAP Business One

Matumizi ya SAP Business One yameunganishwa kwenye nyanja zote za msingi za utendaji wa biashara ndani ya kampuni  ikiwa ni pamoja na masuala ya  fedha, mauzo, usimamizi wa uhusiano wateja, utunzaji wa hesabu na uendeshaji . Tofauti na suluhisho  linalotolewa na biashara nyingine ndogondogo kwenye soko leo, SAP Business One ni utendaji pekee ambao umekuwa unaondoa  mahitaji ya kutenganisha ufungaji pamoja na kuwa na vipimo mbalimbali.

Kwa kutumia njia mbadala kama kifurushi chetu cha kuanzia  ni rahisi kuanza kwa kasi  na kukuza utendaji wako wakati kampuni yako ikiwa inakua. 


 Ukiwa na SAP Business One, kampuni /shirika  litaweza kuboresha ufanisi wake wa utendaji  kwa misingi imara- kusimamia na kuunganisha  biashara nyingine kupitia mauzo, kutunza  hesabu, ununuzi, uendeshaji na masuala ya fedha  kwenye mfumo mmoja, kuondoa takwimu zisizohitajika kuingizwa kwenye vitabu vya kumbukumbu, makosa na gharama. Hali kadhalika  linaangalia  kukua kwa biashara  mtiririko wa uendeshaji kutoka upande mmoja hadi mwingine  hivyo kwamba mtazamo unaweza kuwa kwenye kuifanya biashara kuwa na faida. 

Sap Business One  inafanya maamuzi ya kasi ya  uhakika. Inaweka habari za biashara  kwenye chanzo kimoja cha takwimu hivyo kwamba mtu anaweza kuzipata mara moja kwqa ajili ya kumalizia, kuboresha taarifa hivyo kwamba watu wake  wanaweza kujibu haraka kwa mahitaji ya mteja na hata kuwa na nguvu zaidi ya kufanya maamuzi.

Sap Business One pia huwa na kasi ya kutathmini, kuwezesha na  kuendesha  ndani ya wiki mbili hadi nane kwa  matumizi ya nja moja.uwezo wa kung'amua unapunguza mafunzo wa mtumiaji  na kuopunguza gharama zinazokuwepo za kusaidiwa na  teknolojia ya mawasiliano.

Hali kadhalika inasaidia kwenye mabadiliko ndani ya kampuni kwa kuwa na vifaa ambavyo ni rahisi kutumia na suluhisho za nyongeza zaidi ya 550  ambazo hutolewa na wabia wa suluhisho la  programu za kompyuta. 

SAP Business One inaweza kufuatiliwa na kuongezwa  na kukidhi mahitaji yako muhimu ya kibiashara. Hali kadhalika  inaweza kuunganishwa na  na makao makuu, matawi na wabia wa kibiashara  ndani  mtandao mmoja  ambao  utawahudumia wateja  na kupata ufanisi kwenye uendeshaji ulio ndani ya uwezo suluhisho sahihi  katika kusaidia  usimamizi wa mtiririko wa habari na kuhamasisha michakato ya kibiashara.
      
 Uwepo wa kampuni za  SAP Business One hivi sasa  unaweza kuunganishwa na usemi  “Biashara zinazoendeshwa vizuri, zinaendesha na SAP”
                            
                                                 **********************************
SAP AG Germany, which is a worldwide leader of Business Application Software Industries and Market Segments is set to launch its new product for Small and Medium businesses in Tanzania called SAP Business One 8.8.1

SAP AG, which in Africa trades as SAP Africa has its headquarters in South Africa. SAP delivers its software solutions through its Business Partners in Tanzania; these being Advance One, Bluekey, Double Click Consulting Ltd, iO.sys and ITSL. These partners have successfully delivered SAP Business One software to several companies in Tanzania and are actively growing the footprint of SAP Business One for wider coverage.

Speaking during a press conference in Dar es Salaam, the CEO of Double Click Consulting Ltd, Mr. Ali Shariff said, "Since introducing SAP Business One in Tanzania our customers have experienced a paradigm shift in the way they run their business. They run better with SAP".

SAP and its Business Partners will be showcasing a number of their products to their prospects at the Hyatt Regency Hotel (the Kilimanjaro hotel) this week; further enlightening the local business community with their array of solutions, added Mr. Shariff.

About SAP Business One

SAP Business One application integrates all core business functions across an entire company – including financials, sales, customer relationship management, inventory, and operations. Unlike many other small business solutions on the market today, SAP Business One is a single application, eliminating the need for separate installations and complex integration of multiple modules. With deployment options like our starter package, it's easy to get started quickly and grow your functionality as your company grows.

With Sap Business One, the company/firm will improve the efficiency for a stronger bottom line – Centralize and integrate  entire business – across sales, inventory, purchasing, operations, and financials – in one system, eliminating redundant data entries, errors, and costs. It also focuses on growing  business – Streamline operations from end to end, so that one can focus on making  business more profitable.

Sap Business One makes smarter and faster decisions. It puts  business information into a single data source, so that one can instantly drill down to complete, update information  so that your people can respond quickly to customer needs and be more empowered to make decisions.

Sap Business One also gets faster time to value, be up and running within two to eight weeks with a single application. The intuitive user experience minimizes user training and reduces the cost of ongoing IT support. It also supports changing needs of a company with easy-to-use customization tools and over 550 add-on solutions provided by our software solution partners, SAP Business One can be flexibly tailored and extended to meet your specific business needs. 

It can as well connect headquarters, subsidiaries, and business partners in one seamless network better serve your customers and gain operational efficiency with affordable, right-sized solutions to help manage information flow and harmonize business processes.
     
With SAP Business One companies can now truly join the Elite club of “Best run Businesses Runs SAP”
 
 

No comments: