Tangazo

October 17, 2011

PADRE CHIKAWE NA MIAKA 40 YA UPADRI

Mama Prisca Chikawe (85) akimlisha keki mtoto wake Padri Hugh Chikawe (67) kutoka Kanisa Katoliki la Mt. Peter lililopo Florida, Marekani wakati wa sherehe za kumpongeza kutimiza miaka 40 ya upadri zilizofanyiaka mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni mdogo wake Mathias Chikawe ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora) na mkewe Prof. Amandina Lihamba (Picha na Mwandishi Wetu).
Mama Prisca Chikawe (85) akimlisha keki mtoto wake Padri Hugh Chikawe (67) kutoka Kanisa Katoliki la Mt. Peter lililopo Florida, Marekani akimlisha kipande cha keki mtoto Thecla (6), wakati wa sherehe za kumpongeza kutimiza miaka 40 ya upadri zilizofanyiaka mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni mdogo wake Mathias Chikawe ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora) na mkewe Prof. Amandina Lihamba (Picha na Mwandishi Wetu).

No comments: