Tangazo

October 17, 2011

NAPE AZURU KABULI LA BABA YAKE, ATETA NA JK

Rais Jakaya Kikwete akiagana na viongozi wa ngazi za juu wa CCM baada ya mazishi ya  Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uhuru FM Juma Penza, juzi katika makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), John Chiligati.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akiwa kwenye kaburi la Baba yake Marehemu Mussa (Mosses) Salum Nnauye kwenye makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam, juzi.
Katibu wa NEC, Itiukadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimwagilia maji kwenye kaburi la Baba yake Marehemu Mussa (Mosses) Salum Nnauye kwenye makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam, juzi. (Picha zote na Bashir Nkoromo-Uenezi CCM).

No comments: