Tangazo

October 18, 2011

RAIS, DK. JAKAYA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA UWEKEZAJI - MPANDA

Rais Jakaya Kikwete  akiteta na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  katika mkutano wa Uwekezaji alioufungua  Mjini Mpanda Oktoba 17, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jakaya Kikwete  akisalimiana na mmoja wa wawekezaji katika sekta ya utalii kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi, Bw. Mohsin Abdallah baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa mjini Mpanda ili kufungua mkutano wa uwekezaji katika mikoa ya ziwa Tanganyika ya Rukwa na Kigoma uliofanyika Mjini Mpanda Oktoba 17, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais Jakaya akihutubia wakati akifungua Mkutano wa Uwekezaji  katika mikoa ya Kanda ya Ziwa Tangannyika ya Rukwa na Kigoma uliofanyika mjini Mpanda     jana Oktoba 17, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya  Washiriki  wa Mkutano kuhusu Uwekezaji kwenye eneo la  Ziwa Tanganyika wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete wakati alipofungua mkutano huo Mjini Mpanda Oktoba 17, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: