Tangazo

October 18, 2011

VIDA MAHIMBO AZINDUA "BEACHWEAR COLLECTION" @ MEDITERRANEO HOTEL

Wadau wa masuala ya Ubunifu wa Mitindo na Mavazi wakisubiri kwa hamu kuanza kwa Onyesho la Vida Mahimbo's Beachwear Collection, F Vodka na Fashion TV katika hoteli ya Mediterraneo lililofanyika mwishoni mwa wiki.
Picha za Models waliovalia "Beachwear" ikiwa ni ubunifu wa Vida Mahimbo.
Wanamitindo wakipita Jukwaani na chupa za VODKA wakiwa wamevalia mavazi yaliyobuniwa na Vida Mahimbo.
Mbunifu wa mitindo ya mavazi nchini, VIDA MAHIMBO (katikati) akipita jukwaani na warembo waliovalia ubunifu wake kufunga onyesho hilo.
Vida Mahimbo akihojiwa na Fashion TV mara baada ya kumalizika kwa Onyesho lake.

No comments: