Tangazo

October 31, 2011

Waziri Mkuu Pinda akutana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Waziri Mkuu Mstaafu,  Jaji  Joseph Sinde  Warioba kabla ya mazungumzo yao, Ofisini  kwake jijini  Dar es salaam Oktoba 31,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo  na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji  Joseph Sinde  Warioba, Ofisini  kwake jijini  Dar es salaam Oktoba 31,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: