Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika ufunguzi wa kongamano la kimataifa la The World Food Prize International Symposium kwenye ukumbi wa Hoteli ya Marriott Mjini Des Moines,Marekani jana Oktoba 12,2011.Wengine pichani kutoka kushoto ni Rais wa Theworld Food Prize Foundation, Balozi Kenneth Quinn,Rais wa Zmani wa Nigeria, Generali Olusegun Obasanjo, Rais wa zamani wa Ghana, John Kufuor na Rais wa zamani wa Msumbiji, Joaquim Chissano.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment