Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akibadilishana mawazo na Mpigapicha Mwandamizi wa magazeti ya Serikali Habari Leo na Daily News, Muhidin Issa Michuzi (kulia) walipokutana kwenye msiba wa Juma Penza, Gongola Mboto Mwisho wa Lami Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mtangazaji mwandamizi wa Uhuru FM, Stephen Mhina Dungumaro. Michuzi pia ni Mkurugenzi wa Blogu ya Michuzi. |
No comments:
Post a Comment