Tangazo

November 4, 2011

“Epiq Nation Inter-college Bash” katika Picha

Msanii chipukizi wa Bongo Flava, 'Roma Mkatoliki' akitumbuiza kwenye jukwaa la Epiq Nation wakati wa Tamasha la Wanavyuo “Epiq Nation Inter-college Bash” lililofanyika mwisho wa wiki Mbalamwezi Beach Mikocheni jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE/DAILY MITIKASI BLOG

Msanii anayetamba na kibao chake kipya cha ‘Hakunaga’, Suma Lee akitumbuiza kwenye jukwaa la Epiq Nation wakati wa Tamasha la Wanavyuo “Epiq Nation Inter-college Bash” lililofanyika mwisho wa wiki Mbalamwezi Beach Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Msanii Ben Paul akitumbuiza kwenye jukwaa la'Epiq Nation wakati wa Tamasha la Wanavyuo “Epiq Nation Inter-college Bash” lililofanyika mwisho wa wiki Mbalamwezi Beach Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Mwamba wa Kaskazini, Joe Makini akilishambulia  jukwaa la Epiq Nation wakati wa Tamasha la Wanavyuo “Epiq Nation Inter-college Bash” lilifanyika mwisho wa wiki Mbalamwezi Beach Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Wadau wa Zantel wakiwa katika Bash full kujiachia .

Wadau wa Zantel wakiongozwa Mdau Sharon (mwenye miwani) full kujiachia.

No comments: