Tangazo

November 4, 2011

'Mapaparazzi' wala Nondoz - Chuo Kikuu cha Tumaini

Wanahabari wakiwa na nyuso za furaha baada ya kutunukiwa nondo zao hii leo katika Mahafali ya Chuo Kikuu cha Tumaini (Tawi la Dar es Salaam) mahafali yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Kutoka (kushoto) ni Jeff Shilembi wa TBC, Leonard Magomba Mpigapicha wa The East Africa, Emmanuel Kwitema Mpigapicha Mkuu wa Busness Time na Paul James 'PJ' wa Clouds FM.

No comments: