Tangazo

November 19, 2011

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE WA DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es salaam hivi jioni hii kwenye ukumbi wa PTA viwanja vya maonyesho vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Rais Kikwete anazungumzia masuala mbalimbali yakiwemo mamasuala ya kiuchumi na masuala ya mchakato wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo.

No comments: