Tangazo

May 26, 2012

ZIARA YA NAPE BUKOBA

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa ka Katibu wa CCM mkoa wa Kagera Avelyne Mushi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba, kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kikazi mkoani Kagera ambako pamoja na shughuli nyingine alifungua Baraza la Vijana wa CCM, Wilaya ya Missenyi mkoani humo.

Nape akizungumza na viongozi katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kagera.

Nape akitoa salam za Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwenye msiba wa aliyekuwa mtumishi wa siku nyingi,  Balozi, Dk. Vedasto Kyaruzi, mjini Bukoba.
Kijana wa CCM akimvisha skavu Nape. Kulia ni Mkt wa UVCCM mkoa wa Kagera, Revocatus Bubeye na Wapili kushoto ni Kamanda wa Vijana Kagera, Dioniz Malinzi.

Nape akikata utepe kuingia kwenye uwanja wa Mashujaa, kuzindua Baraza hilo.

Nape akimkabidhi cheti Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera, Dioniz Malinzi kwa kuwa mmoja wa waliowezesha kambi hiyo ya Baraza la Vijana.
Nape akimsalimia Simon Andrea ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Walemavu , wilaya ya Misenyi.

Nape alipata fursa pia kucheza gofu kwenye viwanja vya mchezo huo vya Dioniz Malizni (kulia) nje kidogo ya mji wa Bukoba.

Nape akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na baadhi ya ujumbe aliofuatana nao kwenye uwanja wa gofu.
Mabaki ya kanisa lililolipuliwa kwa mabomu na Idi Amin eneo la Kyaka Bukoba.

No comments: