Tangazo

August 4, 2016

Airtel na VETA watoa elimu ya VSOMO kwa mafundi pikipiki na wa kuchomelea vyuma mkoani Mwanza

Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiwaonyesha mafundi magari na pikipiki mkoani mwanza jinsi ya kupakua application ya VSOMO na kusoma kozi za ufundi za VETA kupitia simu zao za mkononi na kupata ujuzi zaidi utakao ongeza tija kwenye shughuli zao. 
Afisa uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiwaonyesha mafundi magari na pikipiki mkoani mwanza jinsi ya kupakua application ya VSOMO na kusoma kozi za ufundi za VETA kupitia simu zao za mkononi na kupata ujuzi zaidi utakao ongeza tija kwenye shughuli zao. 
Meneja wa kitengo cha ujasiriamali na kozi fupi wa VETA Mwanza, Peter Mlacha akitoa elimu juu ya VSOMO kwa mafundi wa kuchomea vyuma mkoani mwanza wakati Airtel na VETA ilipotembelea vijiwe vya mafundi ili kutoa ufafanuzi wa jinsi ya kusoma  kozi za ufundi za  VETA kupitia simu za mkononi za Airtel.  akishuhudia ni Afisa masoko wa Airtel kanda ya ziwa, Emmanuel Raphael (kushoto) na Afisa uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde.
Afisa masoko wa Airtel kanda ya ziwa, Emmanuel Raphael  akifafanua jinsi ya kupata masomo ya VETA kupitia simu ya mkononi ya Airtel kwa mafundi wa kuchomea vyuma mkoani mwanza wakati Airtel na VETA ilipotembelea mitaa ya mwanza kutoa elimu juu ya VSOMO.

No comments: