Tangazo

June 27, 2012

Breaking News: Kiongozi wa Mgomo wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...



PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui. Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!. Picha kwa Hisani ya Jamiiforums

No comments: