Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simu ya mikononi ya Airtel,Sam Elangallor akipokea tuzo na cheti cha heshima kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Hazina Dk.Servacius B. Likwelile,kwa kushika nafasi ya mlipa kodi kwa ridhaa kati ya taasisi 10 zilizochaguliwa,tuzo hiyo imetolewa leo kwenye hotel ya Serena,jijini Dar es Salaam wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya miaka 5 ya siku ya mlipa kodi kwa taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali. |
No comments:
Post a Comment