Tangazo

January 14, 2012

JK ATEMBELEA MABWE PANDE, AAGA MWILI WA KANALI KAMUGISHA


Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakioneshwa maeneo ya makazi mapya ya walioathirika na mafuriko katika bonde la Msimbazi walipotembelea eneo hilo jana.

Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Kanali Pastory Kamugisha wa JWTZ aliyefariki juzi kabla ya kusafirishwa kwenda kwao mkoani Kagera. Hafla hii imefanyika jana katika kambi ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU




No comments: