Tangazo

January 16, 2012

Mdau Hoyce Temu Alamba Nondozz

Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akisubiri kutunukiwa Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe akimtunukia Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.

Hoyce Temu katika picha ya pamoja na Mdau Assah Mwambene.

Hoyce Temu katika picha ya pamoja na familia yake. Kutoka kushoto ni Dada zake Mrs. Shose Minja, Pendo Matee Makwaiya, Rafiki yake Emelda pamoja na Mama yake Mdogo Bi. Edith Max.

Hoyce Temu akiwa na mtoto wake Ruby.

Miss Tanzania 1999 Hoyce Temu (kushoto) na 1999 na Miss Tanzania namba tatu 2004, Cecilia Assey.

No comments: