Tangazo

January 4, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA BALOZI ATHUMANI MHINA KIJIJINI MNYUZI, KOROGWE, MKOANI TANGA LEO

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Mh Frederick Sumaye, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara Mh Pius Msekwa na wao mbolezaji wengine kwenye mazishi ya Mwenyekitiwa Jumuiya ya Wazazi Taifa Balozi athumani Mhina kijijini Mnyuzi, Korogwe, mkoani Tanga leo Jumatano January 4, 2012. PICHA/IKULU

Waziri Mkuu Mstaafu Mh Frederick Sumaye akiweka udongo kaburini.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mh Pius Mzekwa akiweka udongo kaburini.

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akiweka udongo kaburini.


Rais Kikwete akiweka udongo kaburini.

Huzuni kubwa msibani.




No comments: