Tangazo

January 1, 2012

RAIS KIKWETE AKIWA NA KATIBU MKUU KIONGOZI MSTAAFU NA MPYA

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Mh Philemon Luhanjo (kulia) na Katibu Mkuu kiongozi mteule Balozi Ombeni Sefue ofisini kwake Ikulu Dar es salaam Desemba 30.2011 usiku mara baada ya kufanya uteuzi huo. PICHA/IKULU
 

No comments: