Tangazo

January 23, 2012

Rais Kikwete akiongoza Mamia kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jeremiah Sumari viwanja vya Karimjee jijini Dar

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Marehemu Jeremiah Sumari likiwasili katika uwanja wa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo January 21, 2012 tayari kwa kupewa heshima za mwisho. PICHA/IKULU

Rais Kikwete akitoa heshima zake za mwisho.

Rais Kikwete akimpa pole mjane Mama Miriam Sumari.

Rais Kikwete akiongoza umati mkubwa wa waombolezaji katika halfa hiyo.

Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman, Spika Anne Makinda na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe kwenye hafla hiyo.

No comments: