Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wapya walioteuliwa na kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake jijini Dar es salam Januari 20, 2012. Kutoka kulia ni Dkt. Batild Burian- Kenya, Philip Marmo- China, Shamim Nyanduga- Msumbiji, Dkt. Ladislaus Komba - Uganda, Mohamed Hamza - Misri, Grace Mujuma, Zambia na Ali Saleh - Oman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment