Baada ya kupokea maombi zaidi ya 560 kutoka vikundi mbalimbali ambavyo vinataka kufanya maonyesho yao katika tamasha la tisa la Sauti za Busara, hatimaye vikundi 31 vimechaguliwa kufanya maonyesho katika tamasha la tisa la sauti za busara ambalo limepangwa kufanyika kuanzia tarehe 8 mpaka 12 februari katika ukumbi wa kihistoria wa Ngome Kongwe, zanzibar.
Orodha ya wasanii ni imejumuisha wasanii mashuhuri kutoka Afrika Mashariki, nigeria,Sudan,Cape Verde, Afrika Kusini, Kongo Brazaville,Comoro, Madagaska na kutoka Visiwa vya ushelisheli. Wasanii watakaopanda jukwaani ni Nneka (Nigeria), Tumi & The Volume (South Africa), Fredy Massamba (Congo), Lady Jaydee and FM Academia (Tanzania) na Super Mazembe (Kenya).
Matukio mbalimbali ya ziada ya busara yataanza jumatano ya tarehe 8, milango itafunguliwa kwa matukio mbalimbali. Mji mkongwe utakuwa na maonyesho ya vikundi mbalimbali kama Nadi Ikhwan Safaa (aka Malindi Taarab), Maulidi ya Homu ya Mtendeni, Black Roots, Culture Musical Club na wengineo wengi.
Tamasha litafunguliwa na maandamano ya aina yake siku ya Alhamisi tarehe 9 februari 2012 ambayo yataanzia katika viwanja vya Kisonge (Michenzani). Vikundi vitakavyoshiriki ikiwemo Kozman Ti Dalon, beni brass, kikundi cha wanawake cha mwanandege,wacheza kapoera na sarakasi, maandamano ya yatazunguka katika baadhi ya mitaa na kumalizikia Mji Mkongwe katika ukumbi wa Ngome Kongwe kwa ufunguzi rasmi wa tamasha la tisa.
Siku ya kwanza ya ufunguzi itapambwa na burudani kutoka kwa vikundi vifuatavyo Swahili Vibes, Shirikisho Sanaa, Tandaa Traditional group, Wanafunzi wa SOS (vyote kutoka Zanzibar), Mkota Ngoma kutoka Pemba, Ary Morais from Cape Verde and Lady Jaydee kutoka Dar es Salaam.
Siku ya pili tarehe 10 ijumaa, itapambwa na mkongwe wa taarab mwenye historia Afrika mashariki Bi Kidude kutoka zanzibar na Ogoya Nengo kutoka Kenya. Wasanii wengine ambao watafanya onyesho siku hiyo ni Hanitra (Madagascar), Camirata Group (Sudan), Tausi Women’s Taarab na Utamaduni JKU (Zanzibar), Kozman Ti Dalon (Reunion), Freddy Massamba (Congo) na Super Mazembe (Kenya).
Jumamosi kutakuwa na mpambano wa vikundi vya mchiriku kutoka katika mitaa ya Dar es Salaam,Tanzania,Seven survivor na Jagwa Music, vikitanguliwa na Tunaweza Band (Tanzania), Ndere Troupe (Uganda), Jembe Culture Group (Tanzania), Camirata Group (Sudan) pamoja na Nneka, mwanadada kutoka Nigeria na mshindi wa tuzo ya MOBO ya mwaka 2009 ya mwanamuziki bora wa Afrika.

Sunday 12th features shows by Qwela (Uganda), Leo Mkanyia (Tanzania), Lumumba Theatre Group (Tanzania), Chebli Msaidie (Comoros), Kidumbaki JKU (Zanzibar), Tumi & The Volume (South Africa) and FM Academia (Tanzania).
Siku ya jumapili ya tarehe 12, siku ya mwisho ya tamasha, tamasha litafungwa Qwela (Uganda), Leo Mkanyia (Tanzania), Lumumba Theatre Group (Tanzania), Chebli Msaidie (Comoros), Kidumbaki JKU (Zanzibar), Tumi & The Volume (South Africa) na FM Academia (Tanzania).
No comments:
Post a Comment