Jeremiah Sumari |
Taarifa zilizotufikia katika chumba cha habari cha blogu hii, zinasema aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mh. Jeremiah Sumari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mapaparazi wa Daily Mitikasi Blog wanaendelea kufuatilia taarifa zaidi mtaendelea kujulishwa.
No comments:
Post a Comment