Tangazo

January 30, 2012

SIKU SERENGETI LAGER ILIPOZINDUA NEMBO YENYE MUONEKANO MPYA WA DHAHABU

Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko Bi Joyce Mapunjo akiwa na viongozi wa kuu wa SBL pamoja na wadau wa kinywaji hicho wakiwa katika picha ya pamoja, mara baada ya uzinduzi huo uliofanyika jumamosi usiku jijini Dar na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.


Mdau akicheers na meza kuu..!

Cheers

Mgeni rasmi,Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko B. Joyce Mapunjo akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari,mara baada ya uzinduzi huo uliofanyika usiku wa kuamkia leo,jijini Dar na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.

Chupa mpya ya Serengeti  Premium Lager yenye muonekano wa Dhahabu, ikiibuka kutoka kwenye maji mara baada ya kuzinduliwa rasmi usiku wa kuamkia leo,huku wageni waalikwa mbalimbali wakilishuhudia tukio hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Richard Wells akizungumza katika uzinduzi huo wakati alipomkaribisha mgeni rasmi,Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko B. Joyce Mapunjo.

Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia ya Serengeti, Bw. Ephraim Mafuru akizungumzia mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika taifa kupitia kinywaji murua kabisa cha Serengeti premium Lager.

 Muonekano mpya wa dhahabu unaowasisimua wengi kama hivi pichani.

Moja ya kikundi cha ngoma za asili kikitumbuiza .

Meneja Masoko wa (SBL) Emilian Rwejuna (katikati) akiwa na wadau.

Meneja wa Kinywaji cha Serengeti Premium Lager, Allan Chonjo akiwakaribisha wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo ndani ya Hotel ya Golden Tulip.

Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko B. Joyce Mapunjo akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo ya mabadiliko ya muonekano mpya wa kinywaji cha Serengeti Premium Lager.   Senkyuuu Father Kidevu kwa photos  

No comments: