Adam Mwakanjuki |
Waziri wa zamani katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki amefariki dunia mchana wa jana Aprili 19 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.
Taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda Zanzibar zinafanyika.
Mungu amlaze mahala pema peponi Amina.
Daily Mitikasi Blog inawapa pole wafiwa na Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
No comments:
Post a Comment