Tangazo

February 2, 2012

Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi Endelevu

Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Tutubi Mangazen akifungua Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi Endelevu kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Makamu wa Rais  jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi Mazingira, Dk. Julias Ningu, Mwakilishi wa UNEP, Paris Bi Khairoon Abass na (Kushoto) ni Mkurugenzi wa Barazi la Taifa na Uhifadhi wa Mazingira [NEMC], Mhandisi Boniventure Baya, Mwakilishi wa UNEP nchini Tanzania, Bi. Clara Makenya. [Picha na Ali Meja]

Washiriki wa Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi Endelevu wakiwa katika Picha ya Pamoja Mara baada ya Ufunguzi. [Picha na Ali Meja]

No comments: