Tangazo

March 12, 2012

Mafunzo ua Utekelezaji wa Miradi ya kupunguza gesi joto

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango Tathimini na Ufuatiliaji Bi Grace Ngallu wakati wa Mafunzo ya Utaratibu wa Utekelezaji wa Mradi wa Kupunguza Gesi Joto Mafunzo hayo  yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Katikati Naibu Katibu Mkuu Ofisiya Makamu wa Rais, Eng Ngosi Mwihava. [Picha na Ali meja]

Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais, Idara ya Mazingira Bw Richard Muyungi akitowa Mafunzo ya Utaratibu wa Utekelezaji wa Miradi ya Kupunguza Gesi ya Joto kwa Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee Mjini Dar es Salaam.[picha na Ali Meja]

No comments: