Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Msaidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.(06/03/2012)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Msaidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana.(06/03/2012).
No comments:
Post a Comment