Tangazo

April 23, 2012

Buriani Wakili Rutashoborwa 'Ruta'

Picha ya marehemu Wakili Theonest Rutashoborwa 'Ruta', ikiwa mbele ya Jeneza lenye mwili wake wakati wa shughuli za maziko yake yaliyofanyika katika Kijiji cha Bukabuye Mkoani Kagera Jumatano ya wiki iliyopita. Theonest alikuwa ni Mjumbe wa Kamati Utendaji ya Klabu ya Yanga.

Nyumba ya milele ya  Marehemu Ruta

 Jamali Malinzi, akitoa nasaha na maneno ya Shukrani baada ya maziko.

No comments: