Mkufunzi wa mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lager, Masudi Kandoro (kushoto) akifafanua jambo wakati wa semina ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali inayoendelea katika Hoteli ya Johannesburg Sinza jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment