Tangazo

June 28, 2012

Mapitio ya Rasimu ya Mpangokazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Ngosi Mwihava akifungua Warsha ya Mapitio ya Rasim ya Mpango Kazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira. Kulia Mkurugenzi Msaidizi Mazingira, Bw. Stophan Nkondokaya iliyofanyika mjini Morogoro leo Juni 28.12. [Picha na Ali Meja]

Washiriki wa Warsha ya Wadau wa Kufanya Mapitio ya Rasimu ya Mpango Kazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira wakiwa katika picha ya pamoja na geni rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Ngosi Mwihava iliyofanyika mjini Morogoro. [Picha na Ali Meja]

No comments: