Tangazo

June 12, 2012

PICHA YA LEO: Nyie Gombaneni hadi Mtoane Roho... Sisi Siasa kwetu ni Majukwaani tuuuuu.....


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kushoto), akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa, katika shughuli ya kuuaga mwili wa muasisi wa Chadema,  Bob Makani,  kwenye Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam Juni 11.2012. Katikati ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.

No comments: