Tangazo

June 30, 2012

Tamasha la Airtel Jiunge na Supa 5 latia fora Mtwara

Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania Bi. Jane Matinde (kulia) akitoa zawadi ya simu kwa mmoja wa wakazi wa mji wa Mtwara, Prisca Yonasi, aliyejitokeza katika hafla ya uzinduzi wa promosheni ya Jiunge na Supa 5 ya Airtel katika uwanja wa Mashujaa, Mkoani Mtwara jana.

Wakazi wa Mtwara, Shabani Issa Zuberi (kushoto) ambaye ni bubu na asiyesikia akichuana na Kassim Rashidi kucheza muziki   katika hafla ya uzinduzi wa promosheni ya Jiunge na Supa 5 ya Airtel katika uwanja wa Mashujaa, Mkoani Mtwara jana. Shabani alishinda.

Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza  katika uzinduzi wa promosheni ya Jiunge na Supa 5 ya Airtel katika uwanja wa Mashujaa, Mkoani Mtwara jana.

Baadhi ya wakazi wa Mtwara wakijiunga na Supa 5 wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo mjini Mtwara jana. Anayewaunganisha na Bi. Eva Mrutu wa timu ya mauzo ya Airtel.

No comments: