Meneja wa Bia ya Safari, Oscar Shelukindo akifafanua jambo wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam kuhusu udhamini wa mashindano ya Taifa ya Mchezo wa Pool yajulikanayo kama 'Safari Lager Pool Championships 2012'. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Pool mkoa wa Mwanza, Khaji Kapulilo na Katibu Mkuu wa TAPA, Amosi Kafwinga.
|
No comments:
Post a Comment