Tangazo

June 7, 2012

Waziri wa Mazingira akutana na Kamati ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akizungumza na Kamati ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira kwenye ukumbi wa Hazina (kulia) Mwenyekiti wa Kamati hiyo, James Lembeli (kushoto) Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitwanga, Naibu Katibu Mkuu, Eng.  Ngosi Mwihava, Mh Zakhia Megji kikao hicho kimefanyika leo Mjini Dar es Salaam[Picha na Ali Meja]

No comments: