Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na mgonjwa aliyenusulika katika ajali ya Meli ya
Skagit, Hamisa Akida (45)mkazi wa Ununio mjini Bagamoyo, wakati
alipotembelea katika Hospitali ya Mnazi Mmoja mjini Unguja, leo Julai
19, 2012 kuwafariji wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo baada ya
kuokolewa katika ajali hiyo iliyotokea jana eneo la Kisiwa cha Chumbe.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
|
No comments:
Post a Comment