Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (wa pili kushoto) katika hafla iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake wa makampuni jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barclays Afrika, Kennedy Bungani na Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa makampuni wa NBC, Minnie Adolf Kibuta. Bwana Bungani awali alifanya mazungumzo na wafanyakazi wa NBC nchini ili kufahamiana nao. |
No comments:
Post a Comment