Tangazo

July 2, 2012

MHANDISI DEUSDEDIT MALULU NA DORIS KASAKA WAMEREMETA

Mhandisi Deusdedit Malulu akiwa na mke wake kipenzi Doris Joseph Malulu, kwa pamoja wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa Takatifu jana katika kanisa la Roman Katoliki Parokia ya Mavurunza Kimara.

Mhandisi Deusdedit Malulu akimvisha pete ya ndoa mke wake mpenzi Doris Kasaka aliyefunga nae ndoa takatifu jana.

Familia ya Mzee Njelu Kasaka wakipiga picha ya kumbukumbu na watoto wao wapendwa Doris Kasaka Malulu na Mhandisi Deusdedit Malulu waliofunga ndoa takatifu jana jioni.

Mhandisi Deusdedit Malulu na Mkewe Doris wakikata Keki kwa pamoja kuonyesha kuonyesha ishara ya umoja na mapendo.

No comments: