Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria kikao cha Ulinzi na Usalama cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia Julai 15.2012. |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini China Bwana Quan Zhezhu wakati walipokutana jijini Addis Ababa Ethiopia. |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na ujumbe wa wafanyabiashara wakubwa kutoka China. (picha na Freddy Maro) |
No comments:
Post a Comment