Tangazo

August 8, 2012

'MTOTO WA MKULIMA' ATEMBELEA MAONYESHO YA NANENANE ARUSHA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua mazao ya mbogamboga wakati alipotmbelea maonyesho ya wakulima  Nanenane kwenye uwanja vya Themi, Arusha Agust  8, 2012. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)

Waziri  Mkuu Mizengo Pinda akifurahia mzinga wa nyuki aliozawadiwa na TASO katika maonyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Themi Arusha Agust 8,  2012.  Kulia ni Naibu Waziri wa Kiolimo na Chakula na Ushirika, Adam Malima (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: