Tangazo

August 18, 2012

NAPE AFUTURISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI MOROGORO

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana kwa furaha na mkuu wa mkoa wa zamani wa Morogoro steven Mashishanga baada ya kuwasili kwenye futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest kwa ajili ya mabalozi wa nyumba kumi na baadhi ya viongozi wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa Morogoro jioni hii ya  Agosti 17, 2012.

Waalikwa wakisali kabla ya kufuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.

Kina Baba wakifuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.

Mashishanga, Fikiri juma wa mjini,Nape na wa mkoa petro kingu wakifuturu, futari iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.

Mkuu wa mkoa Moro Joel Bendera akifuturu,futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.

Kina mama wakifuturu, futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.

Nape akizungumza baada ya futari hiyo.

Sheik  Khamis Ali Mbilikila akisoma dua baada ya futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.

Nape, Bendera na Kingu wakiwa wamesimama baada ya futari hiyo.

Nape na mbunge wa zamani Simeindu Pawa wakisalimiana baada ya futari hiyo.

No comments: