Rais Dk. Shein akutana na Mabalozi wa Korea na Denmark Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Johnny Flento,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa mazungumzo na Rais. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
No comments:
Post a Comment