Tangazo

August 10, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI ACCRA KUSHIRIKI MAZISHI YA RAIS WA GHANA JOHN EVANS ATTA MILLS


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Agosti 9, 2012 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills anayetarajiwa kuzikwa leo Ijumaa Agosti 10, 2012.PICHA NA IKULU

No comments: