Rais Kikwete akutana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Waziri Waziri Mkuu wa Zimbabwe Bwana Morgan Tsvangirai ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Baadaye Bwana Tsvangirai aliondoka kurejea nchini kwake. (picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment